KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA AHITIMISHA ZIARA YA KUKAGUA MASHAMBA YA KIMKAKATI MKOANI MOROGORO. - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA AHITIMISHA ZIARA YA KUKAGUA MASHAMBA YA KIMKAKATI MKOANI MOROGORO.

 Kamishna Jenerali wa Magereza Phaustine Kasike akisalimiana na maafisa wa Gereza la Kilimo Idete mkoani Morogoro mwishoni mwa juma mara baada ya kuwasili kituoni hapo kujionea hali ya maandalizi ya mashamba ya kilimo cha mpunga ikiwa ni mkakati wa kuelekea kujitosheleza kwa chakula cha wafungwa na mahabusu kama yalivyo maagizo ya serikali.  Kamishna Jenerali wa Magereza Phaustine Kasike (wa kwanza kushoto) akiongozana na Mkuu wa Magereza mkoa wa Morogoro ACP Sylvester Mrema (wa pili kushoto), Mkuu wa Gereza la Kilimo Idete ACP Nsajigwa Mwankenja (wa pili kulia) na maafisa kadhaa katika zoezi la kukagua maandalizi ya shamba la kilimo cha mpunga gerezani hapo, ambalo ni miongoni mwa magereza yaliyoainishwa kuzalisha mpunga na limepewa malengo ya kulima ekari 700 ambazo tayari zimekamilika kulimwa na kwasasa wanaendelea na zoezi la upandaji. Kamishna Jenerali wa Magereza Phaustine Kasike (wa pili kulia) akiongozana na Mkuu wa Gereza la Kilimo Kiberege (wa kwanza kulia), maafisa na ask... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More