Kamishna Mboje atembelea banda la Magereza nane nane Simiyu - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kamishna Mboje atembelea banda la Magereza nane nane Simiyu

 Kamishna wa Huduma za Parole,Viwanda, Huduma za jamii na Programu za Urekebishaji Af. Augustine Mboje  Sangalali(suruali nyeupe) akisalimiana na Mkuu wa Kilimo,Mifugo na Utunzaji wa Mazingira, Kamishna Msaidizi  Mwandamizi wa Magereza Mlasani Deodath Kimaro, alipotembelea Banda la Magereza katika maonesho ya Nane nane yanayofanyika Kitaifa Nyakabindi,Wilayani Bariadi mkoa wa Simiyu. Sajini Caroline Mtolera wa Jeshi la Magereza akimuelezea Af. Kamishna Mboje namna ya kutunza mazingira kwa kutengeneza mkaa kwa kutumia mabaki ya taka ngumu.
 Kamishna Mboje akipata maelezo ya shamba darasa toka kwa Mrakibu Msaidizi wa Magereza Nimwindaeli Mzirai alipotembelea banda la Magereza kwenye Nane nane inayofanyika Nyakabindi,Bariadi Mkoani Simiyu. Sajini Mateso Alex Linze wa Magereza akimuelezea Kamishna Mboje jinsi ya utunzaji Samaki kwa njia ya kisasa huku banda la kuku likiwa juu ya bwawa la samaki hao.
 Sajini Mahimbo Dafa akimuelezea Kamishna Mboje njia bora na sahihi ya Uhamilishaji wa... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More