KAMISHNA MHIFADHI WA MISITU PROF. DOS SANTOS SILAYO AWASILI MAKAO MAKUU YA TFS JIJINI DAR - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

KAMISHNA MHIFADHI WA MISITU PROF. DOS SANTOS SILAYO AWASILI MAKAO MAKUU YA TFS JIJINI DAR

Kamishna Mhifadhi wa Misitu Prof. Dos Santos Silayo akikagua baadhi ya maofisa wa Jeshi Usu wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania mara baada ya kuwasili makao makuu ya Ofisi za Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania.Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Tehama, Harold Chipanha akimuongozo Kamishna Mhifadhi wa Misitu Prof. Dos Santos Silayo kwenda kwenye ukumbi wa mikutano wa Ngorongoro uliopo makuu ya Ofisi za Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) kuzungumza na watumishi.Kamishna Mhifadhi wa Misitu Prof. Dos Santos Silayo katika muonekano mpya mara baada ya kuwasili makao makuu ya Ofisi za Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania akiwa na jukumu la kuwaongoza maofisa wake kwenye muundo wa kijeshi.Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Tehama, Harold Chipanha akimpigia saluti Kamishna Mhifadhi wa Misitu Prof. Dos Santos Silayo mara baada ya kuwasili makao makuu ya Ofisi za Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania jijini Dar es Salaam kwa mara ya kwanza tangu kuvishwa cheo hiko cha kijeshi Julai 9,2019 wila... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More