KAMISHNA MKUU WA TRA KUSHUGHULIKIA CHANGAMOTO ZA KIKODI ZINAZOIKABILI SEKTA YA UZALISHAJI WA MVINYO - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

KAMISHNA MKUU WA TRA KUSHUGHULIKIA CHANGAMOTO ZA KIKODI ZINAZOIKABILI SEKTA YA UZALISHAJI WA MVINYO

 Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Charles Kichere (kulia) akimsikiliza Mtaalam wa kutengeneza mvinyo wa Kiwanda cha Kutengeneza Mvinyo (CETAWICO) cha Jijini Dodoma, Bw. Erick Shulz namna mvinyo unavyochambuliwa kwa kutumia mtambo maalum kiwandani hapo wakati alipotembelea kiwanda hicho kwa ajili ya kutambua changamoto zinazowakabili Wawekezaji. Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha Kutengeneza Mvinyo (CETAWICO), Bw. Fiorenzo Chesini (kulia) akimuonyesha Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Charles Kichere (katikati) kifaa maalum kutumikacho kupimia kiasi cha ukali wa mvinyo wakati alipotembelea kiwandani hapo kwa ajili ya kutambua changamoto zinazowakabili Wawekezaji.Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Charles Kichere (kulia) akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha Kutengeneza Mvinyo (CETAWICO), Bw. Fiorenzo Chesini akimueelezea namna ya baadhi ya mashine za kiwandani hapo zinavyofanya kazi mpaka kuhakikisha kuwa mvinyo mzuri un... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More