Kamishna wa TRA anusurika ajalini Dodoma - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kamishna wa TRA anusurika ajalini Dodoma

KAMISHNA wa Mamlaka ya Mapato nchini (TRA), Charles Kichere amepata ajali asubuhi ya leo tarehe 11 Septemba 2018 mkoani Dodoma baada ya gari lake kugongana na gari jingine. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma, RPC Girres Muroto amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo akisema kuwa, hakuna mtu aliyepoteza maisha katika ajali ...


Source: MwanahalisiRead More