Kampuni ya bima ya UAP Old Mutual yawanoa mawakala kwa stadi mpya za biashara - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kampuni ya bima ya UAP Old Mutual yawanoa mawakala kwa stadi mpya za biashara

 Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Kukuza Biashara wa UAP Old Mutual Insurance Jabir Kigoda akifafanua jambo wakati wa mafunzo ya mawakala yaliyoandaliwa kwa ajili ya mawakala wa kampuni hiyo hivi majuzi jijini Dar es Salaam. Baadhi ya mawakala wa UAP Old Mutual Insurance wakifuatilia mafunzo yaliyofanyika jijini Dar es salaam hivi majuzi.
Meneja wa Kukuza Biashara wa Old Mutual Insurance , Charles Magori, akiwasilisha mada katika mafunzo kwa mawakala wa kampuni hiyo Dar es Salaam hivi majuzi. 

Na Mwandishi Wetu
Kampuni ya bima ya Old Mutual Insurance hivi majuzi waliendesha mafunzo ya siku moja kwa mawakala wake ambayo ililenga kuwanoa katika stadi mpya za biashara katika sekta hiyo inayokuwa kwa kasi.
Mfunzo hayo, yaliyohudhuriwa na mawakala 60 wa kampuni hiyo kutka maeneo mabalimbali ilijikita katika kuwapa mawakala stadi mpya katika Nyanja mbalimbali kuanzia bidhaa, mauzo na kanuni mbalimbali za uendeshaji.
“ Mafunzo ya aina hii vilevile yanantoa fursa ya kuwasiliana ana kwa ana na ma... Continue reading ->
Source: Issa MichuziRead More