KAMPUNI YAZINDUA SMART MAUZO KULETA UAMINIFU KATI YA MMILIKI NA MSIMAMIZI KIBIASHARA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

KAMPUNI YAZINDUA SMART MAUZO KULETA UAMINIFU KATI YA MMILIKI NA MSIMAMIZI KIBIASHARA

 Khadija Seif,Globu ya jamiiKAMPUNI ya Oval Technical Limited wametambulisha  application mpya ya kibiashara inayojulikana kama SMART MAUZO kwa lengo la kukabiliana na changamoto za kibiashara.
Meneja Mauzo wa kampuni hiyo Hamza Mohamed amesema leo jijini Dar es Salaam amesema  lengo la kuanzishwa kwa mfumo huo kuwa kumekuepo kwa changamoto nyingi nchini zinazowakabili wafanyabiashara.
Ametaja baadhi ya changamoto kama kutohifadhi taarifa sahihi za mauzo ya bidhaa zao na kupelekea kupata hasara katika biashara zao.
Pia amesema changamoto nyingine ni kutokua na uaminifu baina ya mmiliki na msimamizi kutofahamu idadi ya manunuzi yanayofanyika kila siku,wiki,mwezi Kwenye duka .
Mohammed amesema mfumo  huo utawawezesha wafanyabiashara wengi nchini kutatua changamoto zao na mpaka sasa zaidi ya wanafanyabiashara 200 wamejisajiri na huduma hiyo ya Smart Mauzo.
Aidha amesema , kujiunga na mfumo huo unaingia kwenye uwanja wa kupakua huduma za kimtandao na kuandika www.smartMauzo.com na kisha kul... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More