KAMPUNI ZA UKANDARASI ZAIDI YA 70 WAJITOLEA KUJENGA MITARO YA BARABARA JIJINI DAR BURE - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

KAMPUNI ZA UKANDARASI ZAIDI YA 70 WAJITOLEA KUJENGA MITARO YA BARABARA JIJINI DAR BURE

Na Ripota Wetu,Globu ya jamii
KAMPUNI za ukandarasi zaidi ya 70 zimeamua kujitolea kujenga mitaro ya barabara mbalimbali katika Jiji la Dar es Salaam bure kama sehemu ya kuunga mkono jitihada za Mkuu wa mkoa huo Paul Makonda.
Hatua hiyo inakuja baada ya Makonda kufanya ziara usiku na mchana kwa lengo la kujionea uharibifu mkubwa wa barabara uliotokana na ukosefu wa mitaro ya maji na kuamua kuwashirikisha wakandarasi hao ambao walipokea kwa mikono miwili ombi hilo. 
Taarifa yake kwa vyombo vya habari leo jijini Dar es Salaam Makonda pia amewaagiza wenyeviti wa mitaa kuratibu idadi ya barabara zisizokuwa na mitaro kwenye mitaa yao kisha kupeleka kwa Meneja wa Wakala wa Barabara Vijijini(TARURA) Wilaya kwa ajili ya kupatiwa kampuni itakayojenga mitaro hiyo. 
Aidha Makonda amezishukuru kampuni zilizojitolea kujenga mitaro hiyo bure jambo litakalosaidia kuokoa mabilion ya fedha za Serikali.
Kwa upande wao wakandarasi wamesema wamejiandaa vizuri kuanzia vifaa na wataalamu kwaajili ya ujenzi hu... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More