KANE APIGA HAT TRICK ENGLAND IKIIBUKA NA USHINDI WA 4-0 - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

KANE APIGA HAT TRICK ENGLAND IKIIBUKA NA USHINDI WA 4-0

Nahodha, Harry Kane akishangilia baada ya kuifungia England hat-trick kwa mabao yake ya dakika za 24, 49 na 73 kwa penalti ikiichapa Bulgaria 4-0 katika mchezo wa Kundi A kufuzu Euro 2020. Bao lingine la Simba Watatu lilifungwa na Raheem Sterling dakika ya 55, tena kwa pasi ya Kane na kwa ushindi huo, England inapaa kileleni Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More