KANE ASAINI MKATABA MPYA TOTTENHAM SPURS HADI 2024 - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

KANE ASAINI MKATABA MPYA TOTTENHAM SPURS HADI 2024

Harry Kane amesaini mkataba mpya wa miaka sita na Tottenham Hotspur KUPANDA KWA MSHAHARA WA KANE AGOSTI 2014 – Pauni 20,000 (hadiu 2019)JANUARI 2015 – Pauni 35,000 (hadi 2020)DESEMBA 2016 – Pauni 100,000 (hadi 2020)JUNI 2018 – Pauni 200,000 (hadi 2022)
MSHAMBULIAJI Harry Kane amesaini mkataba mpya wa miaka sita na Tottenham ambao utamfanya aongezewe mshahara hadi Pauni Milioni 90 mwa muda wote huo.Nahodha huyo wa England amekuwa akilipwa mshahara wa Pauni 100,000 kwa wiki ambao sasa atakuwa analipwa mara mbili na kupokea Pauni Milioni 15 kwa mwaka, akiingia kwenye orodha ya wachezaji wa Ligi Kuu ya England wanaolipwa vizuri.Mwenyekiti, Daniel Levy ameendelea na jitihada zake za kuhakikisha anabaki na timu imara kwa kumtia pingu na Kane akitoka kumsainisha mkataba mpya wa miaka mitano kocha  Mauricio Pochettino.... Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More