Kangi Lugola amtaka Musiba kuacha kuichafua Serikali - Kwanza TV | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kangi Lugola amtaka Musiba kuacha kuichafua Serikali

Waziri wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, Kangi Lugola amemuonya  mwanaharakati, Cyprian Musiba akimtaka kuacha tabia ya kuwachafua viongozi na watu mbalimbali kwa madai kuwa ametumwa na Serikali.


Akiwa jijini Dodoma katika mkutano na waandishi wa habari, Lugola amesema  Musiba amekuwa akiwachafua baadhi ya viongozi na wananchi kwa madai kuwa ni mtetezi wa Rais Magufuli, na kuwaaminisha watu kuwa anatumiwa na Serikali, jambo alilodai kuwa si kweli.


Lugola amesema Serikali haina mpango wa kuwatuma wanaharakati, haimtumii Musiba kuwaumiza watu hivyo amemtaka  kufanya shughuli zake bila kutumia mgongo wa Serikali.


Ameongeza kuwa iwapo mwanaharakati huyo ataendelea kutoa maeneno yenye kukshifu Serikali na wananchi, atachukuliwa hatua.


Kwa mujibu wa gazeti la Mwananchi lilofanya mahojiano na mwanaharakati Cyprian Musiba, amesema amesema ameanza kuwa mwanaharakati miaka mitatu na nusu iliyopita, hajawahi kusema kama ametumwa na Serikali, CCM au Ikulu.


Amesema  kinachofanywa na Waziri huy... Continue reading ->


Source: Kwanza TVRead More