Kangi Lugola awakaripia watu wanaoshangaa watuhumiwa kufia mikononi mwa polisi (+video) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kangi Lugola awakaripia watu wanaoshangaa watuhumiwa kufia mikononi mwa polisi (+video)

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amekemea vikali tabia ya Wananchi kujichukulia hatua mkononi na kwenda kuchoma vituo vya polisi pindi yanapotokea matatizo ya vifo vya watuhumiwa wakiwa mikononi mwa polisi, huku akieleza kuwa kifo ni mtego mtu atakufa sehemu yoyote ile hata akiwa anafanya mapenzi.Waziri Kangi amefunguka hayo leo Septemba 13, 2018 Bungeni Jijini Dodoma, wakati akijibu swali la Mbunge wa Konde, Khatib Said Haji aliyehoji mahabusu kufia mikononi mwa polisi.


The post Kangi Lugola awakaripia watu wanaoshangaa watuhumiwa kufia mikononi mwa polisi (+video) appeared first on Bongo5.com.... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More