Kangi Lugola: Mwananchi akifia kwenye mapenzi kachomeni kitanda - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kangi Lugola: Mwananchi akifia kwenye mapenzi kachomeni kitanda

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola ameshangazwa na kitendo cha baadhi ya wananchi kuchoma vituo vya polisi pindi raia anapofariki mikononi mwa polisi, na kuhoji kuwa, kwanini mtu akifariki wakati anafanya mapenzi hawachomi kitanda cha gesti. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Waziri Lugola ameyahoji hayo leo tarehe 13 Septemba 2018 bungeni jijini ...


Source: MwanahalisiRead More