Kangi Lugola:Sakata la wahamiaji haramu, uhamiaji ijitathimini - Kwanza TV | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kangi Lugola:Sakata la wahamiaji haramu, uhamiaji ijitathimini

Waziri wa Mambo ya Ndani  Kangi Lugola,  ameitaka idara ya Uhamiaji kujitathmini kuhusiana na suala la wahamiaji haramu ambao wamekuwa wakiingia nchini  mara kwa mara. Akizungumza katika kikao cha watendaji wakuu wa Idara ya Uhamiaji baada ya kutembelea Makao Makuu ya idara hiyo, Lugola amewataka Askari wa Uhamiaji waliopo katika maeneo ya mpaka kujitafakari kutokana


Source: Kwanza TVRead More