Kangi: Wanaotumia ajali MV Nyerere kisiasa, watashughulikiwa - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kangi: Wanaotumia ajali MV Nyerere kisiasa, watashughulikiwa

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amewaonya baadhi ya watu wanaotumia ajali ya kivuko cha MV Nyerere kuichonganisha serikali na wananchi wake. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Waziri Lugola ametoa onyo hilo leo alipotembelea Kisiwani Ukerewe kushuhudia shughuli za uokoaji manusura na miili ya watu waliopoteza maisha katika ajali hiyo. Waziri Lugola ...


Source: MwanahalisiRead More