KANYASU AISHAURI BENKI YA NMB KUSAIDIA UTALII KUSINI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

KANYASU AISHAURI BENKI YA NMB KUSAIDIA UTALII KUSINI


 Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Constantine Kanyasu (kulia) akimsikiliza Mkuu wa malipo na akaunti wa benki ya NMB, Michael Mungure alipotembelea banda la benki ya NMB ambao ni wadhamini wa maonesho ya wadau wa utalii ya Karibu Kili Fair kwenye uwanja wa TGT jijini Arusha wa pili kushoto ni Meneja Mwandamizi wa benki hiyo, Toyi Ruvumbaga.
 Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar ,Mahmoud Thabit Kombo(katikati) akizungumza alipotembelea banda la benki ya NMB ambao ni wadhamini wa maonesho ya wadau wa utalii ya Karibu Kili Fair kwenye uwanja wa TGT jijini Arusha kushoto ni Meneja wa benki hiyo kanda ya Kaskazini,Aikansia Muro na kulia ni Meneja wa tawi la Arusha Market,Hermelinda Kasihwaki.Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar, Mahmoud Thabit Kombo akionesha kadi yake ya benki ya NMB alipotembelea banda la benki ya NMB ambao ni wadhamini wa maonesho ya wadau wa utalii ya Karibu Kili Fair kwenye uwanja wa TGT jijini Arusha .

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Constan... Continue reading ->
Source: Issa MichuziRead More