Kapombe, Manula wakamua mamilioni Simba - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kapombe, Manula wakamua mamilioni Simba

Wawili hao kama ilivyo kwa Bocco walikuwa wakihusishwa na klabu yao ya zamani ya Azam FC, ambayo ilikuwa kwenye mpango kabambe wa kuwarudisha baada ya kushindwa kuwaongezea mikataba pindi ile ya awali ilipomalizika mwishoni mwa msimu wa 2016/2017.


Source: MwanaspotiRead More