KAPTENI MESSI 'AKIMBWAGA' MTU SAKAFUNI BARCA IKIICHAPA 2-0 VALENCIA JANA - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

KAPTENI MESSI 'AKIMBWAGA' MTU SAKAFUNI BARCA IKIICHAPA 2-0 VALENCIA JANA

Nahodha wa Barcelona, Lionel Messi akimuacha chini mchezaji wa Valencia katika mchezo wa La Liga jana Uwanja wa Camp Nou. Barcelona ilishinda 2-0 mabao ya Gerard Pique dakika ya 36 na Carles Alena dakika ya 87 


Source: Bin ZuberyRead More