KARDINALI PENGO ATOA SABABU ZA BAGAMOYO KUWA JIMBO LA KANISA KATOLIKI - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

KARDINALI PENGO ATOA SABABU ZA BAGAMOYO KUWA JIMBO LA KANISA KATOLIKI

Na Paul petro
KATIKA makala yaliyohusu Bagamoyo kama kituo cha biashara ya Watumwa, tuliona jinsi Wamisheni wa Shirika la Roho Mtakatifu walivyowasili mwaka 1847 na kujenga Kanisa Katoliki ambalo waamini wake wa awali walikuwa watumwa waliokombolewa katikati ya Bahari ya Hindi kutoka kwa wafanyabiashara wa Kiarabu. Katika mahojiano, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo aelezea sababu za kuwepo kwa Jimbo la Kanisa Katoloki la Bagamoyo.
Swali: Unafikiri ni kwa nini Baba Mtakatifu alikuagiza kuanzisha Jimbo la Kanisa Katoliki la Bagamoyo?
Jibu: Niseme kuwa siyo Baba Mtakatifu aliyeagiza hivyo, bali ni Baraza la Maaskofu la Tanzania (TEC) lililoazimia kwa kuwa Bagamoyo ilikuwa mlango mkuu wa kuenea kwa Kanisa katika Afrika Mashariki na Kati. Kwani Wamisheni wa Shirika la Roho Mtakatifu walikuwa wa kwanza kufika Bagamoyo na kujenga kanisa. Kutoka hapo likawa limeenea kaskazini mwa Tanzania mpaka kusini mwa Kenya hadi Uganda, Rwanda na Burundi. Pia kutoka Bagamoyo likasambaa upande wa magharibi ha... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More