Karia awashamoto Tanga - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Karia awashamoto Tanga

Mkutano wa 5 wa bodi ya ligi umefanyika jana na kufunguliwa na Rais wa TFF Wallace Karia. Mkutano huo ulikuwa na agenda mbiki 1. Mapato na Matumizi na 2. Kujaza nafasi ya Mwenyekiti wa Bodi ya ligi iliyokuwa wazi.


Wakai wa ufunguzi wa mkutano huo Karia alisema, kiongozi atakaechaguliwa ni lazima afuate sera zake na si vinginevyo.


“Naomba mniletee watu ambao watafanya kazi na mimi, watakwenda kwenye malengo yangu yale ambayo nayataka. Msiniletee watu ambao watakuja kupambana na mimi kutaka kunirudisha nyuma na maendeleo yetu ya mpira ambayo tumefikia hapa.”


“Kama kuna mtu anagaka kupambana na mimi asubiri, nitakapoondoka aje agombee alete sera zake ambazo atazifanyia kazi lakini kwa sasa yeyote atakaeingia kwenye uongozi atafanya kazi chini chini ya sera ambayo niliizungumzia wakati nagombea nafasi hii.”


“Kwa hiyo asiingie mtu mwingine ambaye atasema nitafanya hivi, atafanya ya Karia ambayo yapo kwenye sera.”


Katuka uchaguzi huo, Steven Mguto amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa ... Continue reading ->


Source: Shaffih DaudaRead More