Katazo la Spika Ndugai la kucha, kope bandia bungeni lakosolewa - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Katazo la Spika Ndugai la kucha, kope bandia bungeni lakosolewa

Spika wa Tanzania ametangaza Jumatatu kuwa kwa mamlaka ya kikakuni aliyonayo amepiga marufuku kuingia bungeni kwa wenye kucha na kope bandia kutokana na sababu za kiafya


Source: BBC SwahiliRead More