Katibu Mkuu mpya wa Wizara ya Afya Dkt.Zainab Chaula aripoti kazini mara tu baada ya kuapishwa - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Katibu Mkuu mpya wa Wizara ya Afya Dkt.Zainab Chaula aripoti kazini mara tu baada ya kuapishwa

 Katibu Mkuu Wizara ya Afya,Maemdeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto-Idara Kuu Afya akizungumza wakati alipokaribishwa ofisi ndogo za wizara mara baada ya kuapishwa leo Ikulu Waziri wa Afya,Maendekeo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akimsikiliza Katibu Mkuu mpya wa Wizara yake Dkt.Zainab Chaula Dkt.Zainab Chaula akitoa salamu baada ya kukaribishwa Ofisi ndogo za Wizara hiyo,kushoto ni aliyekua Katibu Mkuu Dkt.Mpoki Ulisubisya Aliyekua Katibu Mkuu-Idara Kuu Afya Dkt.Mpoki Ulisubisya akimkabidhi baadhi ya vitendea kazi Katibu Mkuu Mpya Dkt.Zainab Chaula kwenye ukumbi wa ofisi ndogo ya Wizara jihini Dar es Salaam
 Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akimkaribisha Katibu Mkuu Mpya wa Idara Kuu Afya Dkt.Zainab Chaula kwenye ofisi ndogo za wizara zilizopo jijini Dar es Salaam mara baada ya kuapishwa
Naibu Waziri Dkt.Faustine Ndugulile akitoa neno la ukaribisho wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto-Idara Ku... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More