KATIBU MKUU UVCCM AONGOZA MAMIA YA WAOMBOLEZAJI MAZISHI YA JOHN GUNINITA IFAKARA-KILOMBELO - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

KATIBU MKUU UVCCM AONGOZA MAMIA YA WAOMBOLEZAJI MAZISHI YA JOHN GUNINITA IFAKARA-KILOMBELO

Jeneza Lililobeba Mwili wa Marehemu Ndg John Guninita likiwekwa ndani ya Kaburi na Waombolezaji |(Picha Zote Na Fahadi Siraji Wa UVCCM)Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi(UVCCM) Mwl Raymond Mwangwala akimpa pole mdogo wa marehemu John Guninita Ndg Gerald John Guninita alipowasili nyumbani kwao Ifakara Wilaya ya kilombero.Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi(UVCCM) Mwl Raymond Mwangwala wakati akiwasili nyumbani kwao marehemu pamoja na mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Morogoro Ndg Innocent Karogelesi.Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi(UVCCM) Mwl Raymond Mwangwala akizungumza na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Morogoro Ndg Innocent KarogelesiWaombolezaji wakiandamana kutangulia mbele wakati mwili wa Marehemu John Guninita ulipokuwa ukipelekwa eneo la kusaliwa wakati wa mazishi hayoMuombolezaji Wakilia kwa uchungu wakati wa mazishi ya marehemu John Guninita.Vijana wa Umoja wa Vijana wa CCM wakibeba jeneza lenye mwili wa marehemu John Guninita kuli... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More