KATIBU MKUU WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI AFUNGUA KIKAO CHA BAJETI YA SHIRIKA LA MAGEREZA KWA MWAKA WA FEDHA 2018/2019 MKOANI MOROGORO - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

KATIBU MKUU WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI AFUNGUA KIKAO CHA BAJETI YA SHIRIKA LA MAGEREZA KWA MWAKA WA FEDHA 2018/2019 MKOANI MOROGORO


Kamishna Jenerali wa Magereza Phaustine Kasike akisalimiana na Kamishna wa Utawala Gaston Sanga pamoja na viongozi waandamizi wa Jeshi la Magereza alipowasili katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwamvita Mkoani Mororgoro tarehe 9 Oktoba 2018.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Meja Jenerali Jacob Gideon Kingu akisalimiana na Kamishna Jenerali wa Magereza Phaustine Kasike alipowasili katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwamvita Mkoani Mororgoro.
Mdhibiti Mkuu wa Shirika la Magereza,Naibu Kamishna Afwilile Mwakijungu akitoa maelezo mafupi kuhusu Shirirka kabla ya mgeni rasmi kukaribishwa kufungua kikao.

Kamishna Jenerali wa Magereza Phaustine Kasike akitoa maelezo mafupi kabla ya kukmkaribisha Katibu Mkuu wa Mambo ya Ndani ya Nchi Meja Jenerali Jacob Gideon Kingu kufungua kikao.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Jacob Gideon Kingu akisisitiza jambo kwa Wakuu wa Mikoa ya Kimagereza, Wakuu wa Magereza na Wakuu wa Miradi mbalimbali ambayo iko c... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More