KATIBU WA BUNGE, WANANCHI NA WANAFUNZI WATEMBELEA BANDA LA BUNGE KATIKA MAONYESHO YA NANENANE JIJINI DODOMA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

KATIBU WA BUNGE, WANANCHI NA WANAFUNZI WATEMBELEA BANDA LA BUNGE KATIKA MAONYESHO YA NANENANE JIJINI DODOMA

 Mwananchi Mkazi wa Jiji la Dodoma ambaye pia ni mlemavu asiyeona akiipapasa SIWA ya mfano baada ya kutembelea Banda la Ofisi ya Bunge katika Maonyesho ya Nanenane Jijini Dodoma. Afisa wa Ofisi ya Bunge, Ndugu Omary Machunda akitoa elimu kuhusiana na Bunge kwa wanafunzi  na raia wengine waliotembelea Banda la Ofisi ya Bunge katika maonyesho ya Nanenane Jijini Dodoma. Katibu wa Bunge, Ndugu Stephen Kagaigai akipewa maelezo ya shughuli zinazofanywa na maafisa wa Ofisi ya Bunge katika maonyesho ya Nanenane Jijini Dodoma baada ya kutembelea Banda la Ofisi hiyo. Anayetoa maelezo ni Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Habari, Elimu kwa Umma na Mwasiliano Bi. Zuhura Mtatifikolo.Katibu wa Bunge, Ndugu Stephen Kagaigai akipewa maelezo ya shughuli zinazofanywa na maafisa wa Ofisi ya Bunge katika maonyesho ya Nanenane Jijini Dodoma baada ya kutembelea Banda la Ofisi hiyo. Anayetoa maelezo ni Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Habari, Elimu kwa Umma na Mwasiliano Bi. Zuhura Mtatifikolo.... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More