KATIKA MAMILIONI YA MFUKO WA JIMBO, WABUNGE WANATUMIA KIASI GANI KUSAIDIA MICHEZO NA WANAMICHEZO? - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

KATIKA MAMILIONI YA MFUKO WA JIMBO, WABUNGE WANATUMIA KIASI GANI KUSAIDIA MICHEZO NA WANAMICHEZO?

MIAKA ya nyuma, kiki ilikuwa ina maana shuti katika mchezo wa soka – lakini kwa sasa kiki ina maana nyingine kabisa kwa kifupi umaarufu.
Vijana wa kizazi cha sasa wanaelekwa kiki kama umaarufu tu- ambao huja kwa namna yoyote, kutokana na kazi nzuri, au wakati mwingine mtu kuutafuta kwa kufanya vitu, au mambo yatakayoteka hisia za watu, yawe mabaya mazuri.
Wakati mwingine mtu hutafuta kiki kwa kuchokoza, kutukana, hata kujiingiza kwenye matatizo ya vyombo vya doka ili achukuliwe hatua tu apambe vichwa vya habari na kupata umaarufu.
Lakini Jumamosi iliyopita, bondia Hassan Mwakinyo kutoka Tanga alimshinda kwa Technical Knockout (TKO) Muingereza, Sam Eggington Uwanja wa Arena Birmingham, zamani Barclaycard Arena mjini Birmingham, England.

Mwakinyo aliushitua ulimwengu baada ya kummaliza Eggington kwa TKO katika raundi ya pili kuelekea pambano kuu jana kati ya Muingereza, Amir Khan na Samuel Vargas Colombia anayeishi Canada. Khan alishinda kwa pointi za majaji wote.
Bondia huyo aliondoka nchi... Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More