Katika watu wanaokula raha duniani mimi namba moja, sitishwi na maneno yenu (+video) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Katika watu wanaokula raha duniani mimi namba moja, sitishwi na maneno yenu (+video)

Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Mhe. Paul Makonda amesema kuwa yeye ni moja ya watu wanaokula raha zaidi duniani na hatishwi na maneno ya watu kwani yupo katika kazi ya msalaba na amefunikwa na mbao za Bwana Yesu Kristo na kamwe hatotikisika.RC Makonda atoa kauli wakati akizungumza na na mamia waliojitokeza kwenye Mazishi ya RCO wa Ilala SSP Anael Mbise ambaye alifariki dunia kwa ajali ya gari Wilayani Mwanga Mkoani Kilimanjaro akielekea nyumbani kwao kwaajili ya mapumziko.


The post Katika watu wanaokula raha duniani mimi namba moja, sitishwi na maneno yenu (+video) appeared first on Bongo5.com.... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More