Katwiga FC inakuja Kombe la FA Mwanza - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Katwiga FC inakuja Kombe la FA Mwanza

MWANZA. KATWIGA FC imefanikiwa kufuzu hatua ya pili ngazi ya Mkoa wa Mwanza kwenye Michuano ya Kombe la Shirikisho baada ya kuilaza Kaseni mabao 3-2 katika mchezo uliopigwa juzi katika Uwanja wa Nyamagana.


Source: MwanaspotiRead More