Kauli ya Nondo baada ya kuibwaga Serikali mahakamani - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kauli ya Nondo baada ya kuibwaga Serikali mahakamani

Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi nchini (TSNP), Abdul Nondo amesema hawezi kurudi nyuma katika harakati zake za kutetea haki za binadamu. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Nondo amesema hayo leo tarehe 5 Novemba 2018, baada ya kuachwa huru na Mahakama ya Hakimu Mkazi Iringa kufuatia kukutwa na hatia katika kesi iliyokuwa ina mkabili ya kujiteka. ...


Source: MwanahalisiRead More