Kauli ya rais Magufuli kuhusu uzazi wa mpango yaibua hisia tofauti Tanzania - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kauli ya rais Magufuli kuhusu uzazi wa mpango yaibua hisia tofauti Tanzania

Katibu mkuu wa wizara ya afya nchini Tanzania, Dkt Mpoki Ulisubisya amesema kwamba inawezekana watu hawakumuelewa rais kuhusu kauli ya mpango wa uzazi


Source: BBC SwahiliRead More