KAZI YA KUKINYANYUA KIVUKO CHA MV NYERERE KUANZA LEO - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

KAZI YA KUKINYANYUA KIVUKO CHA MV NYERERE KUANZA LEO

Sehemu ya waokoaji wakiwa katika pembezoni mwa kivuko cha Mv. Nyerere kilichopinduka na kupelekea idadi kubwa ya watu kupoteza maisha na wengine kujerukiwa, katika eneo la Ukara, Kisiwa cha Ukerewe jijini Mwanza, wakiangalia maeneo mbalimbali kutafuta miili au watu waliohai waliozama kwenye maji. ajali ya Kivuko cha MV. Nyerere kinachofanya safari zake kati ya Bugorora na Ukara katika wilayani ya Ukerewe mkoani Mwanza kilipinduka juzi Alhamisi (Septemba 20, 2018) kikikadiriwa kubeba idadi kubwa ya abiria kuzidi uwezo wake. Kwa Mujibu wa taarifa iliyotolewa na Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Isack Kamwelwe, Mpaka wakati huu miili ya waliopolewa majini imefikia 209, huku kati yao miili 172 imetambuliwa huku 112 ikiwa imechukulia na ndugu zao. Picha zote na Steve Magombe a.k.a Kasampaida.
---Meli yenye vifaa maalum vya kukinyanyua na kukigeuza kivuko cha MV Nyerere kurahisisha uokoaji imewasili katika kijiji cha Bwisya Kisiwa cha Ukara wilayani Ukerewe.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John M... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More