KCCA mabingwa wapya Kagame Cup yaichapa Azam FC - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

KCCA mabingwa wapya Kagame Cup yaichapa Azam FC

Azam walishatwaa taji hilo mwaka 2015 na 2018 na jana kwenye mechi yao ya fainali iliyopigwa mjini Kigali, Rwanda ilikuwa ikisaka heshima ya Leopards iliyowekwa mwaka 1982-1983 na 1984.


Source: MwanaspotiRead More