Keisha anyoosha maelezo kumkosoa Diamond kisa picha Irene Uwoya (Audio) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Keisha anyoosha maelezo kumkosoa Diamond kisa picha Irene Uwoya (Audio)

Mwanamuziki Keisha amefunguka kueleza kwanini aliamua kumkosoa Diamond baada ya kupost mtandaoni picha ya rapa Dogo Janja mtandaoni. Mrembo huyo ambaye ni mjumbe wa NEC amesema akimkosoa rais huyo wa WCB ili kuwafundisha kitu vijana.The post Keisha anyoosha maelezo kumkosoa Diamond kisa picha Irene Uwoya (Audio) appeared first on Bongo5.com.


Source: Bongo5Read More