Kenya yafanikiwa kurusha saetelaiti yake ya kwanza - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kenya yafanikiwa kurusha saetelaiti yake ya kwanza

Nchi ya Kenya imeingia katika vitabu vya historia kwa kurusha Setilaiti yake ya kwanza angani kutokea nchini Japan. Mapema wiki huu tulileta makala kuhusu Kenya kurusha satelaiti yao kwa mara ya kwaza. Raia wa Kenya walifuatilia tukio hilo moja kwa moja wakiwa mjini Nairobi siku ya Ijumaa. Satallite hiyo imetengezwa na wanasayansi kutoka katika chuo [...]


The post Kenya yafanikiwa kurusha saetelaiti yake ya kwanza appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More