Kenya yaongoza kwa bajeti kubwa Afrika Mashariki - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kenya yaongoza kwa bajeti kubwa Afrika Mashariki

MATAIFA matano ya Afrika Mashariki jana tarehe 13 Juni 2019, yalitazamiwa kusoma bajeti zao kwa Mwaka wa Fedha 2019/20. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Mataifa hayo ni Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi na Sudani Kusini. Hata hivyo, Sudani Kusini haikufanikiwa kuwasilisha bajeti yake kutokana na kutetereka kwa mausala ya usalama. Katika bajeti hizo, Tanzania yenye idadi ...


Source: MwanahalisiRead More