Kenya yatinga fainali Intercontinental Cup - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kenya yatinga fainali Intercontinental Cup

Timu ya taifa ya Kenya, 'Harambee Stars' imefanikiwa kutinga fainali ya michuano ya Hero Intercontinental Cup, inayoendelea nchini India, baada ya kuicharaza Chinese Taipei mabao 4-0, katika mchezo mkali uliomalizika muda mfupi uliopita, katika uwanja wa Mumbai Football Arena.


Source: MwanaspotiRead More