Kenya yawakamata wavuvi 109 wa Tanzania - Kwanza TV | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kenya yawakamata wavuvi 109 wa Tanzania

Jeshi la wanamaji wa Kenya liliwakamata raia 109 wa Tanzania kwa kushiriki katika uvuvi haramu katika himaya ya maji ya Kenya katika bahari hindi. Wavuvi hao walikamatwa katika eneo la Shimoni , linalomilikiwa na bandari Kusini Mashariki mwa Kenya karibu na mpaka wa taifa la Tanzania na kufikishwa mbele ya Mahakama ya kaunti ya Kwale


Source: Kwanza TVRead More