Kepa Arrizabalaga: Chelsea wamnunua kipa wa Athletic Bilbao kwa uhamisho uliovunja rekodi ya dunia - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kepa Arrizabalaga: Chelsea wamnunua kipa wa Athletic Bilbao kwa uhamisho uliovunja rekodi ya dunia

Chelsea wamemnunua Kepa Arrizabalaga kutoka Athletic Bilbao kwa £71m - ada ya juu zaidi kuwahi kulipwa katika uhamisho wa mlinda lango duniani.


Source: BBC SwahiliRead More