Kerr: Ratiba hii inachosha, KPL legezeni kidogo - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kerr: Ratiba hii inachosha, KPL legezeni kidogo

Kauli ya Kerr imekuja wakati ambapo kwa mujibu wa msimamo ulivyo hivi sasa, mabingwa hao mara 16 wa KPL, ambao wanaongoza msimamo wakiwa na pointi 60 kileleni, mechi tatu mkononi huku wakiwazidi wapinzani wao wa Karibu Bandari FC kwa jumla ya pointi 12.


Source: MwanaspotiRead More