Kesi ya Abdul Nondo: Mahakama yathibitisha uongo wa Polisi - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kesi ya Abdul Nondo: Mahakama yathibitisha uongo wa Polisi

HATIMAYE Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Iringa imetoa hukumu yake katika kesi iliyokuwa inamkabili kiongozi wa Programu ya Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP), Abdul Mahmoud Nondo. Anaandika Tundu Lissu, Tienen, Belgium … (endelea). Mahakama hiyo imemkuta Abdul Nondo hana hatia kwa makosa yote mawili aliyoshtakiwa nayo, yaani, kutoa taarifa ya uongo kwamba alitekwa nyara akiwa Ubungo, ...


Source: MwanahalisiRead More