Kesi ya Aveva: Mahakama kutoa uamuzi wa kupokea nyaraka za TBS zikiomba kufutiwa kodi Simba - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kesi ya Aveva: Mahakama kutoa uamuzi wa kupokea nyaraka za TBS zikiomba kufutiwa kodi Simba

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imepanga Agosti 28 mwaka huu kutoa uamuzi wa kupokea kielelezo katika kesi ya kugushi na kutakatisha fedha inayomkabili aliyekuwa rais wa Simba, Evans Aveva na wenzake.


Source: MwanaspotiRead More