Kesi ya dhamana ya Sudi Brown, Maua Sama, Shaffih kusikilizwa J’tatu - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kesi ya dhamana ya Sudi Brown, Maua Sama, Shaffih kusikilizwa J’tatu

KESI ya maombi ya dhamana Na. 13/2018 ya Msanii wa Bongo Fleva, Maua Sama, Watangazaji Sudi Kadio maarufu kama Soudy Brown na Shaffih Dauda na wengine wanne kuanza kusikilizwa siku ya Jumatatu tarehe 24 Septemba 2018. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Kwa mujibu wa Wakili Jebra Kambole, kesi hiyo dhidi ya Mkuu wa Jeshi la ...


Source: MwanahalisiRead More