Kesi ya Malinzi kunguruma Jumatano, Alhamisi hii - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kesi ya Malinzi kunguruma Jumatano, Alhamisi hii

Kesi inayomkabili, aliyekuwa rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Jamal Malinzi na wenzake wa wanne itandelea kusikilizwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa ushahidi wa upande wa mashtaka Novemba 21 na 22 mwaka huu.


Source: MwanaspotiRead More