Kesi ya Mbowe: Shahidi Jamhuri aibuka na Akwelina - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kesi ya Mbowe: Shahidi Jamhuri aibuka na Akwelina

SHAHIDI wa nane katika kesi ya uchochezi namba 112/2018, inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake wanane, ametoa ushahidi wake leo. Anaripoti Faki Sosi…(endelea). Kwenye kesi hiyo leo tarehe 11 Septemba 2019, shahidi huyo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Kisutu, Thomas Simba amesema, baada ya kutokea vurugu kwenye maandamano yalisofanywa na Chadema, alifanikiwa kubaini watu ...


Source: MwanahalisiRead More