KESI YA MFANYABIASHA ALIYEMUUA MKEWE KWA KUMCHOMA MOTO KUSIKILIZWA AGOSTI 27, 2019 - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

KESI YA MFANYABIASHA ALIYEMUUA MKEWE KWA KUMCHOMA MOTO KUSIKILIZWA AGOSTI 27, 2019

Na Karama Kenyunko, Michuzi TV,
Mfanyabiashara Khamis Luwonga maarufu kwa jina la Meshack (38), anayedaiwa kumuua mkewe kwa kumchoma moto kwa kutumia magunia mawili ya mkaa, Naomi Marijani ametoa vitisho kwa waandishi wa habari wanaompiga picha akiwa mahakamani kuwa atawafanyia kitu kibaya ambacho mahakama haijakitarajia.
Mshtakiwa Said amedai hayo leo Agosti 13,2019 mbele ya Hakimu Mkazi Salum Ally, baada ya Wakili wa Serikali Mwandamizi, Wankyo Simon kudai mbele ya Hakimu Mkazi Salim Ally kwamba kesi hiyo imekuja kwa ajili ya kutajwa na upelelezi wake bado haujakamilika.
Baada ya kueleza hayo, mshitakiwa Said alinyoosha kidole na kuomba kuongea akasema, "Mheshimiwa nina kitu ambacho nataka nikueleze kuhusu Waandishi wa Habari, wamekuwa wakinipiga picha kuanzia chini hadi ndani ya mahakama sasa nakueleza hivi nitakuja kuishangaza mahakama nitafanya kitu kibaya sana;
"Kuna kesi ambayo inanikabili na sielewi hatima ya kesi yangu, hapa nilipo kichwa changu kimevurugika nina mawazo ya mtoto w... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More