Kesi ya talaka: Brad Pitt ajibizana na Angelina Jolie kuhusu gharama ya malezi ya watoto - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kesi ya talaka: Brad Pitt ajibizana na Angelina Jolie kuhusu gharama ya malezi ya watoto

Katika nyaraka za kujibu kesi Jumatano, mawakili wa mwigizaji huyo wanasema kwamba amelipa jumla ya $1.3m (£1m) kama gharama ya malezi ya watoto wake na kwamba amemkopesha Jolie jumla ya $8m kumsaidia kununua nyumba.


Source: BBC SwahiliRead More