Kesi ya uvamizi: Sheikh Ponda arudishwa kortini - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kesi ya uvamizi: Sheikh Ponda arudishwa kortini

SHEIKH Ponda Issa Ponda, Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, leo tarehe 11 Juni 2019 anapandishwa kizimbani kwenye Mahakama ya Rufani, jijini Dar es Salaam baada ya serikali kumkatia rufaa. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Kiongozi huyo wa Kiislam, anapandishwa tena kizimbani kusikiliza rufaa katika Mahakama ya Rufaa baada ya serikali kutoridhishwa na ...


Source: MwanahalisiRead More