Kessy ana yake kule Zambia - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kessy ana yake kule Zambia

BEKI wa kimataifa wa Tanzania aliyetua Nkana Red Devils ya Zambia, Hassan Kessy, amesema ametua klabuni hapo ili kupiga kazi ya kuipa mafanikio timu hiyo sambamba na kuendelea kupata nafasi timu ya taifa, Taifa Stars.


Source: MwanaspotiRead More