KESSY AWA MCHEZAJI BORA WA MECHI NKANA IKISHINDA 2-0 ZAMBIA - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

KESSY AWA MCHEZAJI BORA WA MECHI NKANA IKISHINDA 2-0 ZAMBIA

Beki wa kulia wa Tanzania, Hassan Kessy ameanza vyema katika klabu yake mpya, Nkana FC baada ya kuchaguliwa Mchezaji Bora wa Mechi (MOM) dhidi ya Kabwe Warriors Jumapili. 93 minna mashabiki wa klabu hiyo na kupewa zawadi ya dola za KImarekani 1,00, zaidi ya Sh. 200,000 za Tanzania. Nkana imeshinda 2-0.


Source: Bin ZuberyRead More