Kessy awakosa Senegal Afcon,kocha afunguka - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kessy awakosa Senegal Afcon,kocha afunguka

BEKI wa kulia wa Timu ya Taifa ‘Taifa Stars’, Hassan Kessy atakosa mchezo wa kwanza wa mashindano ya Mataifa ya Afrika (AFCON) mwaka huu huko Misri dhidi ya Senegal, Juni 23, kutokana na adhabu ya kutumikia kadi mbili za njano alizopata kwenye mechi za kuwania kufuzu fainali hizo.


Source: MwanaspotiRead More